Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika

Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika
Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika

Jumatano, 1 Julai 2015

WASANII MKOANI MOROGORO WAKUTANA NA MH.MEMBE


Anasema"
Sanaa inaweza kuwa ajira kama ajira zingine, sanaa ina uwezo mkubwa wa kukupatia wewe msanii mafanikio makubwa kifedha na vile vile kuchangia kwenye pato la taifa. Sanaa pia ni njia bora ya kuhifadhi na kuendeleza tamaduni zetu. Haya yote yanawezekana endapo wasanii watatia bidii katika kazi zao na serikali kulinda maslahi ya wasanii.

Nikiwa Morogoro nilipata nafasi ya kukutana na Wasanii wa tasnia ya filamu Mkoani humo na tukazungumza mengi. Kikubwa nilichoondoka nacho ni kwamba wasanii hawa ni wenye vipaji mahiri na wenye nia ya kuendeleza tasnia hiyo."

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni