Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika

Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika
Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika

Alhamisi, 2 Julai 2015

UFAFANUZI KUHUSU "FEDHA ZA LIBYA" HUU HAPA


UFAFANUZI KUHUSU "FEDHA ZA LIBYA"

YAH: FEDHA ZA DENI LA LIBYA
1.0. Libya ni moja kati ya nchi wafadhili wa Tanzania ambapo, kama ilivyo wafadhili wengineimekuwa ikiipa nchi yetu misaada na mikopo yenye masharti nafuu. Serikali yetu imekuwa ikifanya taratibu mbalimbali kulipa madeni ya nchi wafadhili kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kubadili madeni na kuyaingiza katika miradi n.k, yaani ‘Dept Swap’
2.0. Katika utaratibu huo wa ‘Dept Swap’, tarehe 20/7/2005, Serikali ya Tanzania na Libya zilitia sahihi mkataba wa Dept Swap (Dept Swap Agreement) ambao uliweka utaratibu wa matumizi na urejeshaji wa fedha za deni la Libya.

3.0. Tarehe 4/3/2009, Serikali ya Libya na Tanzania zilitia sahihi mkataba wa nyongeza (Addendum to the Dept Swap Agreement) ambao ulizungumzia, pamoja na mambo mengine, matumizi ya jumla ya dola za Kimarekani milioni 20 (20,000,000) ambazo zilikuwa zimehifadhiwa katika akaunti ya Libya No.004-200-0002216-01, Benki ya Rasilimali Tanzania (Tanzania Investment Bank).
4.0. Nyongeza hii ya mkataba ilitamka bayana katika kifungu No.4.02, kwamba, fedha zilizokuwa katika akaunti tajwa, zikopeshwe kwa mwekezaji waliyemteua wao wenyewe, ambaye ni kampuni ya MEIS INDUSTRIES LIMITED kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha Saruji Lindi. Kwa mujibu wa nyongeza hii, mkopo ulipaswa kulipwa ndani ya miaka sita, na baada ya hapo, fedha hizo zirejeshwe na ziendelee kukopeshwa Watanzania kwa ajili ya miradi mingine ambayo Serikali za Libya na Tanzania zitakuwa zimeridhia.

5.0. Kumbukumbu zinaonyesha mambo mawili:-

MJINI DODOMA KUKABIDHI FOMU ZA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO KWA TIKETI YA CCM






KIGOMA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI MH. MEMBE






Jumatano, 1 Julai 2015

MH. MEMBE AZURU KATIKA MSIKITI WA GADDAFI MJINI DODOMA











WILAYA YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUMDHAMINI MH. MEMBE





PWANI WAJITOKEZA KUMDHAMINI MH.MEMBE







Mh Membe akiwashukuru wazee waliojitokeza katika viwanja vya. Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha Mjini.

WASANII MKOANI MOROGORO WAKUTANA NA MH.MEMBE


Anasema"
Sanaa inaweza kuwa ajira kama ajira zingine, sanaa ina uwezo mkubwa wa kukupatia wewe msanii mafanikio makubwa kifedha na vile vile kuchangia kwenye pato la taifa. Sanaa pia ni njia bora ya kuhifadhi na kuendeleza tamaduni zetu. Haya yote yanawezekana endapo wasanii watatia bidii katika kazi zao na serikali kulinda maslahi ya wasanii.

Nikiwa Morogoro nilipata nafasi ya kukutana na Wasanii wa tasnia ya filamu Mkoani humo na tukazungumza mengi. Kikubwa nilichoondoka nacho ni kwamba wasanii hawa ni wenye vipaji mahiri na wenye nia ya kuendeleza tasnia hiyo."

MOROGORO WAJITOKEZA KUMDHAMINI MH.MEMBE






Mh Membe akizungumza machache na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya CCM ya Morogoro Mjini.

DODOMA - CHAMWINO IKULU WAJITOKEZA KWA WINGI

Tanzania ni nchi yenye vipaji lukuki vya asili. Asanteni wananchi wa kijiji cha Chamwino Ikulu kwa burudani nzuri ya ngoma ya kienyeji. Shukran za dhati kwa Mkoa wa Dodoma kwa udhamini wenu.
 








GEITA WAJITOKEZA KWA MAELFU KUMFHAMINI MH.MEMBE


Nilipowasili Geita, wenyeji wangu wa Geita walijiunga nami katika msafara kuelekea ofisi za CCM Wilaya ya Geita kama njia yao ya kuonyesha ushirikiano na kunikaribisha Wilayani humo. Asanteni sana Geita kwa mapokezi yenu na shukrani za dhati kwa udhamini mkubwa.






MARA NA MUSOMA WAJITOKEZA KWA MAELFU KUMDHAMINI MH. MEMBE