Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika

Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika
Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika

Alhamisi, 2 Julai 2015

UFAFANUZI KUHUSU "FEDHA ZA LIBYA" HUU HAPA


UFAFANUZI KUHUSU "FEDHA ZA LIBYA"

YAH: FEDHA ZA DENI LA LIBYA
1.0. Libya ni moja kati ya nchi wafadhili wa Tanzania ambapo, kama ilivyo wafadhili wengineimekuwa ikiipa nchi yetu misaada na mikopo yenye masharti nafuu. Serikali yetu imekuwa ikifanya taratibu mbalimbali kulipa madeni ya nchi wafadhili kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kubadili madeni na kuyaingiza katika miradi n.k, yaani ‘Dept Swap’
2.0. Katika utaratibu huo wa ‘Dept Swap’, tarehe 20/7/2005, Serikali ya Tanzania na Libya zilitia sahihi mkataba wa Dept Swap (Dept Swap Agreement) ambao uliweka utaratibu wa matumizi na urejeshaji wa fedha za deni la Libya.

3.0. Tarehe 4/3/2009, Serikali ya Libya na Tanzania zilitia sahihi mkataba wa nyongeza (Addendum to the Dept Swap Agreement) ambao ulizungumzia, pamoja na mambo mengine, matumizi ya jumla ya dola za Kimarekani milioni 20 (20,000,000) ambazo zilikuwa zimehifadhiwa katika akaunti ya Libya No.004-200-0002216-01, Benki ya Rasilimali Tanzania (Tanzania Investment Bank).
4.0. Nyongeza hii ya mkataba ilitamka bayana katika kifungu No.4.02, kwamba, fedha zilizokuwa katika akaunti tajwa, zikopeshwe kwa mwekezaji waliyemteua wao wenyewe, ambaye ni kampuni ya MEIS INDUSTRIES LIMITED kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha Saruji Lindi. Kwa mujibu wa nyongeza hii, mkopo ulipaswa kulipwa ndani ya miaka sita, na baada ya hapo, fedha hizo zirejeshwe na ziendelee kukopeshwa Watanzania kwa ajili ya miradi mingine ambayo Serikali za Libya na Tanzania zitakuwa zimeridhia.

5.0. Kumbukumbu zinaonyesha mambo mawili:-

MJINI DODOMA KUKABIDHI FOMU ZA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO KWA TIKETI YA CCM






KIGOMA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI MH. MEMBE