Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika

Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika
Twende na Bernard Membe Kwa Mabadiliko ya Uhakika

Jumatatu, 22 Juni 2015

MWANZA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI BERNARD MEMBE




Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza Juni 21.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 2,300 walimdhamini.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani), akiupungia mikono umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza Juni 21.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 2,300 walimdhamini.

BUKOBA WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA, AZOA WADHAMINI.


 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Kagera mjini Bukoba Juni 20.2015, alipokwenda kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mbele mwenye miwani) akiongoza umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera Juni 20.2015 na kufanya matembezi kutoka uwanjani hapo hadi katika Ofisi ya CCM Mkoa, alipokwenda kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo. Kushoto kwake Ini Katibu mstaafu wa CCM mkoa Kagera, Faustine Kamaleki.
 Msafara wa bodaboda ukiongozi msafara wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (hayupo pichani) baada ya kuwasili mjini Bukoba mkoani Kagera Juni 20.2015,kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo.



MKOANI SINGIDA WAZIRI MEMBE AZOA WADHAMINI ZAIDI YA 1900

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akiusalimia umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Singida, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,900. Kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Ikungi, Aluu Segamba.



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi  wa Mkoa wa Singida, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,900.

MKOA WA MANYARA - WAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI







Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Manyara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo wilayani Babati Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Ole Porokwa akitambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) kwa umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Manyara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo wilayani Babati Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akikabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Babati, Daniel Ole Porokwa fomu zilizotiwa saini na wanachama wa CCM, nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Manyara Juni 18.2015, kwa ajili kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akionyesha fomu yenye orodha ya majina ya wadhamini wake baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Babati, Daniel Ole Porokwa (kushoto), nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Manyara Juni 18.2015, kwa ajili kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Manyara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo wilayani Babati Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofurika nje ya Ofisi ya CCM ya Mkoa wa Manyara, wilayani Babati Juni 18.2015, wakati akondoka ofisni hapo baada ya kupata wadhamini zaidi ya 1,200 kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.

Jumapili, 21 Juni 2015

MOSHI MJINI WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akiwasalimia  wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofurika nje ya Ofisi ya CCM ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mjini Moshi Juni 17.2015,  kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Kilimanjaro, waliofika katika Ofisi ya CCM ya wilaya ya Moshi Mjini Juni 17.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akikabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi mjini, Ole Nesele fomu zilizotiwa saini na wanachama wa CCM, Ofisini hapo Juni 17.2015, kwa ajili kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwaaga wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Kilimanjaro, waliofika katika Ofisi ya CCM ya wilaya ya Moshi Mjini Juni 17.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.

Kundi la madereva wa Bodaboda wakiwa tayari nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi Juni 17.2015, wakisubiri kumsindikiza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe, baada ya kumaliza heka heka za kutafuta wadhamini kwa  ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.

WAZIRI MEMBE ASHIRIKI MAZISHI YA MUFTI MKUU ISSA SHABAN BIN SIMBA






Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akitoa neno kwa umati wa waombolezaji katika msiba wa Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga, baada ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto), akimpa mkono wa pole Bw. Ahmad Simba ambaye Mtoto wa marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba akitoa neno la shukrani baada ya kumaliza mazishi ya Baba yake nyumbani kwao katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni 16.2015.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto), akijadiliana jambo na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye walipiokutana baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni 16.2015. 







Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe  akisalimiana na wananchi baada ya weka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.

MKOANI KILIMANJARO WAZIRI BERNARD MEMBE AKUTANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU MH DAVID CLEOPA MSUYA






Mh. Membe amekutana na Waziri Mkuu mstaafu David Cleopa Msuya  nyumbani kwake Usangi wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro na kufanya mazungumzo.

WAZIRI BERNARD MEMBE AHANI MSIBA WA BABA WA ADADI RAJAB - MUHEZA TANGA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akisaini kitabu cha maombolezo cha kifo cha Mzee Rajabu Meta ambaye ni Baba mzazi wa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu aliyefariki Juni  mwaka huu, wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Muheza mkoani Tanga  Juni 16.2015. Kushoto ni mtoto wa marehemu, Bi. Maajabu Rajabu na Diwani wa Kata Mbaramo wilayani Muheza, Makame Seif. Picha na John Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimpa mkono wa pole Bi. Fatma Omary mjane wa marehemu Mzee Rajabu Meta ambaye ni Baba mzazi wa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu aliyefariki Juni mwaka huu, wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Muheza mkoani Tanga leo Juni 16.2015. Kushoto ni mtoto wa marehemu, Bi. Maajabu.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na Bi. Fatma Omary mjane wa marehemu Mzee Rajabu Meta ambaye ni Baba mzazi wa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu aliyefariki Juni  mwaka huu, wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Muheza mkoani Tanga  Juni 16.2015. Kushoto ni mtoto wa marehemu, Bi. Maajabu.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akikabidhi rambi rambi yake kwa Bi. Fatma Omary mjane wa marehemu Mzee Rajabu Meta ambaye ni Baba mzazi wa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu aliyefariki Juni mwaka huu, wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Muheza mkoani Tanga Juni 16.2015. Wengine ni wanafamilia.